Download Video and Audio from YouTube

Loading...

Mbunge Msukuma, Lusinde Wamshambulia Nape, "Waziri Sio wa Kusini"

307,324 views 943 332

Mbunge Msukuma, Lusinde Wamshambulia Nape, "Waziri Sio wa Kusini" Mbunge wa Jimbo la Mtera, Livigstone Lusinde, amempongeza Rais Magufuli, kwa juhudi kubwa anazozifanya za kuiletea nchi maendeleo, ikiwa ni pamoja na kufanikiwa kufufua shirika la ndege nchini na kuileta ndege ya Bombadier na kuzindua mradi mkubwa wa kufua umeme. Mbunge Lusinde amejibu hoja ya Mbunge wa jimbo la mtama, Nape Nnauye, aliposema kuwa ni aibu kuona Waziri mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa, anatokea kusini lakini eneo hilo lina sua sua kwenye mradi wa gesi, ambapo Lusinde amesema Waziri mkuu sio wa kusini bali ni wa Tanzania hivyo haipaswi kumgawa kwa kigezo hicho. Wakati Mbunge Lusinde akichania hoja, Mbunge wa Geita Mjini alimuomba Spika ampe nafasi ya kutoa taarifa katika hoja hiyo. Instal GlobalPublishersApp Android: http://bit.ly/2AAQe1d iOS: http://apple.co/2Assf4M Subscribe http://www.youtube.com/c/uwazi FACEBOOK: https://www.facebook.com/Globalpublis... TWITTER: https://twitter.com/GlobalHabari Visit https://globalpublishers.co.tz/, Subscribe http://www.youtube.com/c/uwazi1 kupata video nyingine za aina hii, subscribe kwenye chanell yetu kwa kubofya… http://www.youtube.com/c/uwazi1 http://www.youtube.com/c/uwazi1 http://www.youtube.com/c/uwazi1 WEBSITE: https://globalpublishers.co.tz/ FACEBOOK: https://www.facebook.com/Globalpublis... TWITTER: https://twitter.com/GlobalHabari INSTAGRAM: https://www.instagram.com/globalpubli..

Comments